Wimbo wa Bata Bukini - na hadithi nyingine
SKU: 69

Wimbo wa Bata Bukini - na hadithi nyingine

100 In Stock
7.00€

Author: Hassan Adam

Editor: Jörg Berchem

Hadithi hizi za wanyama tilitungwa zamani sana na Aesop (Aisopo). Myunani aliyeishi hapo kale katika nchi ya Uyunani ambayo siku hizi inajulikana kwa jina la Ugiriki. Hadithi zake nyingi zimetafsiriwa kwa lugha nyingi ili kuwaburudisha watu. Mimi nimezihadili na kuzipanua kidogo ili zipate kuwa na "ladha" ya Kiafrika. Na kila mwisho wa hadithi, ilipowezekana, nimejaribu kutoa methali ya Kiswahili kuhusu hadithi yenyewe.

Hiki ni kitabu cha kwanza cha vitabu vichache vya hadithi hizi za wanyama zenye adili nilivyokusudia kuvitoa kwa madhumuni ya kutuburudisha, kutupanua mawazo na kutufundisha mengi ya hekina na yenye busara, Natumaini vitawaburudisha wasomaji.

Paperback, 40 pages, illustrations, Kiswahili
Omimee Intercultural Publishers
ISBN-10: 3921008077
ISBN-13: 978-3921008072